Tuesday, January 15, 2013

PAPA BENEDICTOR AMHAMISHA ASKOFU LWOMA KWENDA BUKOBA


Kiongozi mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa mtakatifu Benedicto wa 16 (pichani juu) amemteuwa askofu Desdelius Lwoma wa Jimbo la Singida kuwa asikofu mpya wa Jimbo la Bukoba baada ya askofu Nestory Ntimanywa kustaafu

Taarifa kutoka idara ya habari ya Kanisa katoliki ambazo zimethibitishwa na viongozi kadhaa wa Kanisa hilo zimetaja kuwa, askofu Ntimanywa amestaafu baada ya kutimiza umri wa miaka 75

Kwa upande wake, makamu mwenyekiti wa baraza la maaskofu Katoliki Tanzania ambaye pia ni Askofu wa jimbo katoliki la Rulenge Ngara Mhashamu Seveline Niwemugi ameviambia vyombo vya habari kuwa, uteuzi huo umetangazwa leo na baba mtakatifu majira ya saa 8 mchana baada ya kupokea maombi yake tangu mwaka jana.

Amesema licha ya kuteuliwa Asikofu Luwoma kuwa asikofu wa jimbo la Bukoba bado ataendelea kulisimamia jimbo la singida kama msimamizi wa kitume hadi hapo atakapoteuliwa askofu mwingine wa jimbo hilo

Amesema licha ya kuteuliwa Askofu Lwoma kuwa askofu wa jimbo la Bukoba bado ataendelea kulisimamia jimbo la Singida kama msimamizi wa kitume hadi hapo atakapoteuliwa askofu mwingine

Hata hivyo uteuzi huo umepokelewa kwa sura tfauti huku baadhi ya waumini na wakazi wa jimbo la Singida wakitaja kuwa kanisa litakosa huduma yake ya kichungaji na wengine wakijiuliza ni nani atakayeteuliwa kuchukua nafasi hiyo

Kwa upande wao mapadre kila mmmoja anajichunguza kuona kama huenda ikawa bahati yake kuteuliwa kua askofu wa jimbo hilo

Huenda sintofahamu hii ikasaidia kuibuka kwa uadilifu miongoni mwa mapadre wazawa wa Singida ambamo huenda miongoni mwao akateuliwa mmoja kuwa askofu

Mjini Singida waumini wa kanisa Katoliki wapo katika makundimakundi wakijadili juu ya uteuzi huo huku baadhi yao wakimtaja Padre Francis Limu kuwa mmoja wa mapadre wanaoweza kuhimili vishindo vya askofu Lwoma.

Padre Limu ni msaidizi wa askofu wa Jimbo Katoliki la Singida.

3 comments:

Anonymous said...

My programmer is trying to convince me to move to .net from PHP.
I have always disliked the idea because of the costs.
But he's tryiong none the less. I've been using Movable-type on several websites for about a year and
am nervous about switching to another platform.
I have heard excellent things about blogengine.net. Is there a way I can transfer all my wordpress posts into it?

Any help would be greatly appreciated!
Also visit my webpage : how can I get taller

Anonymous said...

Excellent blog right here! Also your website lots up fast!
What host are you the use of? Can I get your associate hyperlink to your host?
I want my web site loaded up as quickly as yours lol

Also visit my page :: http://www.pornoenter.com

Anonymous said...

I read this piece of writing completely concerning the comparison of most recent and preceding technologies,
it's awesome article.

Here is my site :: http://www.free-videos-xxx.net/category/288/double-penetration/