Tunapenda kuomba radhi wasomaji wetu kutokana na matatizo ya kiufundi yanayosababisha blog hii kutoonesha picha za matukio mbalimbali. Hii inatokana na dosari ndogo katika mfumo wa mawasiliano ndani ya mtandao wa internet tunayotumia.
Hata hivyo, IT technician wetu anashughulikia kuondoa tatizo hili, ili hatimae habari zetu ziwe na picha kama ilivyo ada
Narudia tena kuomba radhi kwa dosari hii
No comments:
Post a Comment