Thursday, August 2, 2012

TUMETHUBUTU NA TUSASONGA MBELE

  
  
Mnara na jengo la Mitambo, jingo lenye rangi ya Kijani juu limejengwa kisasa kwa ajili ya kuhifadhi mitambo ya aina mbalimbali, aidha lina nafasi ya mitambo ya Televisheni pia ambalo ndolo lengo la Standard Voice Limited

 
Kituo hiki ni cha kwanza kuanzishwa na kurusha matangazo yake kutoka Mjini Singida. Ni matumaini yetu Standard Voice LTD kuwa wakazi wa mkoa wa Singida na mikoa jirani itanufaika sana na uwepo wa Radio hii
 
 





No comments: