Friday, August 3, 2012

TAKWIMU ZA LEO- WALIOTUTEMBELEA


Ninafurahi sana kukufahamisha mpendwa msomaji wa Mtandao wa STANDARD RADIO FM kuwa sasa tunafahamika na kutembelewa na wasomaji wengi licha ya mtandao huu kuwa mchanga,

Hadi ninaingia mtandaoni, wasomaji kutoka Marekani, Canada, Ujerumani, Kenya, Uganda, Burundi na wenyeji Watanzania wametembelea na kusoma yaliyomo mtandaoni

hii ina maana kuwa habari na matangazo yanayopitia katika mtandao huu yanapata wasomaji na tafsiri yake ni kwamba habari zetu zitapata umuhimu na maana zaidi

Pageviews today
77
Pageviews yesterday
110
Pageviews last month
746
Pageviews all time history
971


Hizi ni takwimu za leo hadi kufikia saa moja na nusu jioni

Ni matumaini yetu kuwa wewe unayesoma mtandao wa STANDARD RADIO  utamjulisha na rafiki, mke, mme, mpenzi, jirani na hata uliosoma nao ili nao watembelee mtandao huu na kujua nini kimejiri leo

Aidha tunatarajia kuanza kubandika matangazo mbalimbali ya kazi, biashara pamoja na habari za magazeti ya kila siku yanayochapishwa Tanzania na nchi nyingine za afrika Mashariki

Hii ina maana kuwa mtandao huu utakuwa karibu nawe zaidi kuliko unavyofikiria

Aidha tunakaribisha habari, makala, picha na matangazo BURE ili kukuwezesha wewe mwandishi au mpiga picha na hata wewe mjasiliamali upate kujitangaza

anuani zetu ni

srfm2011@gmail.com

TANGAZA NA STANDARD RADIO FM, kwa manufaa yako na Taifa kwa ujumla, kama una maswali au maoni tuma barua pepe kwa anuani hapo juu au piga simu 0786 200 518, Muda ni mali tumia fursa hii adimu ya kutangaza nasi BUREEEEEEE

Angalizo: usibeep namba uliyooneshwa hapo juu, kwani ipo kikazi zaidi

KARIBU

No comments: