Friday, August 17, 2012

SPORTS VIEW IN EAST AFRICA


TIMU ya Mpira wa Miguu ya chini ya miaka 20 kutoka mkoani Tanga (COASTAL UNION) Katika piacha ya pamoja na vijana wa academy ya TWALIPO ya JWTZ inayonoa vijana kuwa waamuzi wa mpira wa miguu nchini Tanzania

Ni picha ya pamoja wakiwa katika uwanja wa EAGLE NOIR mkoani Makamba nchini Burundi wakati wa fainali za kombe la vijana under 20 kwa timu za afrika mashariki na kati, hata hivyo kombe lilikwenda kwa timu ya Kivu kusini nchini DRC
Picha na Prosper Kwigize

No comments: