Sunday, August 12, 2012

USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI KIMICHEZO

Mwambata Jeshi wa Tanzania katika ubalozi wa Burundi, alikuwa miongoni mwa viongozi waliohudhuria fainali za mashindano kombe la vijana chini ya miaka 20 linalojulikana kama ECAYFA lililofanika nchin Burundi mwezi uliopitaa

Jumla ya timu 18 toka TANZANIA, BURUNDI, DRC, UGANDA NA ZANZIBAR zilishiriki mashindano hayo na hatimaye ushindi ulikwenda DRC katika mkoa wa KIVU kusini

Mchezaji wa Coastal Union ya Tanga akisikitika kushindwa

No comments: