Thursday, August 9, 2012

SHUKURANI ZETU KWA MSOMAJI WA BLOG YA STANDARD RADIO


KAMA KAWAIDA tunakuletea takwimu za leo hadi majira ya saa moja na nusu jioni, tumetembelea na kusomwa na wastani wa wasomaji wa mitandao wapatao 224 kote duniani, hii ina maana kwamba tunavuma kwa kishindo. Mpendwa msomaji wetu tunakushukuru sana kwa kututembelea ni matumaini yetu kuwa unafurahia kuona blog mpya ya jamii inayogusa mahitaji ya jamii. Tunakaribisha maoni na maswali katika kila habari tuliyopeperusha katika mtandao huu aidha unaruhusiwa pia kutoa maoni kuhusu mtandao wetu kwa ujuml aau kuhusu malengo na maudhui ya Standard Radio.
Maoni ni moja ya njia ya kuboresha au kukosoa ni njia ya kuboresha pia, wewe unayesoma blog hii usisite kutuandikia kupitia anuani ifuatayo
Mkurugenzi
Standard Radio Fm
S.L.P 62 SINGIDA TANZANIA
HIZI NI TAKWIMU ZA LEO HADI SAA MOJA KAMILI JIONI, je wewe ni niongoni? KAMA NDIYO karibu tena tutaendelea kukuwekea story nzuri kwa maendeleo ya taifa letu na afrika mashariki kwa ujumla.
WALIOTUTEMBELEA LEO
Tanzania
118
United States
76
Burundi
14
United Kingdom
5
Norway
4
Russia
4
Netherlands
3


No comments: