Thursday, August 9, 2012

PONGEZI KWA ROLLINGSTONE ARUSHA NA GOVENOR MAKAMBA BURUNDI


Rolling stone accademy ya Arusha mwezi uliopita ilikuwa msimamizi wa mashindano ya mpira wa miguu kwa vijana chini ya miaka 20 katika nchi za afrika mashariki

mtandao huu hivi karibuni utakueletea picha za fainali ya mashindano hayo ambayo yaliisha kwa DRC kutwaa kombe na kitita cha pesha

Mashindano hayo yaliyofanyika mwezi July mwaka huu huko nchini Burundi katika mji wa Makamba

kwa waliokuwa nchini Burundi, viongozi wa timu na hata mashabiki nina hakika mtakumbuka yaliyojili huko Burundi.

timu zilizoshiriki mashindano hayo ni pamoja na
1. AAZAM FM YA TANZANIA
2. COASTAL UNION YA TANZANIA
3. EAGLE NOIR YA BURUNDI
4. JKT RUVU SHOOTING YA TANZANIA
5. RUMONGE FM YA BURUNDI
6. ROLLINGSTONE ARUSHA TANZANIA
7. BISHOP DURNING HIGH SCHOOL ARUSHA TANZANIA
8. KITEGA FC YA BURUNDI
9. KYAZANGA FC YA UGANDA
10. ECOFOOT YA KIVU KUSINI-DRC Aliyetwaa Ubingwa kwa kumchapa COASTAL UNION kwa mikwaju ya penalt 5-3
11. ECOFFOT YA BUKAVU DRC
12. NYIRAGONGO YA DRC
13. MJINI MAGHARIBI YA ZANZIBAR
pamoja na nyingine tano ambazo hata hivyo ziliondolewa mapema katika mashindano hayo ambayo waamuzi wake walikuwa ni ACADEMY ya MAREFAREEE inayonolewa na JESHI LA TANZANIA chini ya KANAL CHACHA waamuzi wa mashindano hayo ambao wote wako chini ya umri wa miaka 16 ndio waliokuwa nyota wa mashindano hayo.

mwambata jeshi wa tanzania nchini burundi ambaye mtamuona akiwa amevalia shati jeupe katika nbaadhi ya picha alihushulia fainali kwa niaba ya Balozi wa Tanzania nchini Burundi

angalia picha hizi

No comments: