Friday, August 17, 2012

MAAFISA WA ROLLINGSTONE NA VIONGOZI WA SERIKALI YA BURUNDI

VITA umasikini na magonjwa ni moja ya matatizo yanayolisumbua bara la afrika, viongozi wa nchi za kiafrika wamekuwa wakipambana kuwaunganisha wananchi wao ili kuwepo na umoja na mshikamano katika kupambana na majanga na matatizo mengine ya kiuchumi, kijamii na kimataifa

michezo ni njia pekee inayoweza kutumika kutahimini mahusiano na maendeleo ya jamii pamoja na usalama wa raia wa nchi husika

picha hapo juu inawaonesha viongozi wa taasisi ya Rollingstone ya Arusha wakiambatana na Senetor wa serikali ya Burundi katika moja ya matukio ya michezo ya vijana wa afrika mashariki yaliyofanyika hivi karibuni nchin Burundi

pamoja na wakimbizi wa Burundi walioko Tanzania kugoma kurejea kurejea nchin mwao, mamia ya wanamichezo kutoka nchi za afrika mashariki na kati waliishi na kucheza kwa amani nchini Burundi bila kusikia mlio wa risasi wao bomu.

No comments: