Tuesday, August 28, 2012

MCT YAWANOA WANAHABARI KIGOMA KUHUSU TAMKO LA DSM

Waandishi wa habari mkoani Kigoma wakiwa katika picha ya pamoja na mkuu wa wilaya ya Kigoma Bw. ramadhan Maneno pamoja na wakufunzi kutoka MCT Bw. Deodatus Balile mhariri mtendaji wa gazeti la JAMHURI na Bi. Rose Mwalongo kutoka tume ya haki za binadamu na utawala bora na pia mwandishi wa gazeti la Guardian

Baraza la habari Tanzania linatoa mafunzo ya maadili na kulitangaza azimio la Dar es salaam kuhusu uhuru wa uhariri na uwajibikaji wa vyombo vya habari nchini Tanzania

Tama tamko la Dar es salaam litazingatiwa ni dhahiri kuwa kazi ya uandishi wa habari itakuwa rahisi na yenye tija kwa taifa la Tanzania

Tidha maadili ni jambo la muhimu ili kufanikisha utekelezwaji wa tamko hilo

No comments: