Monday, July 30, 2012

TAKWIMU STANDARD ZA MTANDAONI


YALIYOJILI MTANDAONI


MWEZI MMOJA TU TANGU BLOG YA STANDARD RADIO KUPEPERUSHWA MTANDAONI MAMIA YA WASOMAJI WAMEUTEMBELEA
Kushoto mwa ukurasa huu ni taarifa za walioutembelea mtandao wa Standard Radio Fm kupitia katika Blog yetu
Hii inaashiria kuwa tayari tnatambulika duniani kote na tunakubalika, pamoja na takwimu hizo, tumepokea maoni mengi sana kuhusu BLOG hii pamoja na maoni ya jumla kuhusu Radio yetu, katika taarifa zetu zijazo tutabandika maoni hayo
TANGAZA NA STANDARD RADIO UJULIKANE DUNIANI


WASOMAJI WA MTANDAO NA NCHI ZAO
· USA————63
· TANZANIA ———191
· RUSSIA————4
· GERMAN———1


No comments: