Monday, July 9, 2012

TACAIDS YATOA MAFUNZO KWA WANAHABARI

WAANDISHI WA HABARI licha ya kutumika kuhabarisha, kuelimisha na kuburudika, wanalo jukumu kubwa kwao wao wenyewe kujifunza na kuwa na elimu ya yale ambayo wao wanataka kupitia vyombi vyao wayajue. hivi karibuni Tacaids ILITOA MAFUNZO kwa waandishi wa habri wa vyombo mbalimbali vya habari hususani radio za kijamii ili kuwawezesha kutimiza wajibu wao kwa wanaovisikiliza vyombo yao.

Pamoja na majukumu megine STANDARD RADIO FM, inakusudia kuwajengea uwezo wanahabari wake watakaopata ajra kujifunza kwa kina juu ya maadiliko na mbinu za kumfikia msikilizaji kadiri ya wakati

HILO NDILO LENGO LETU

No comments: