Tuesday, July 3, 2012

KAZI NA MAFUNZO

katika picha, wanafunzi wa chuo cha mafunzo stadi VETA Singida wakiwa katika moja ya mafunzo wakati wa ujenzi wa mnara wa Standard Radio fm, mwenye koti la rangi ya Bluu ni mwalimu LYIMO kutoka kitengo cha ufundi vyuma chuoni VETA

Tunachukua fursa hii, kumshukuru sana Mwl Lyimo kwa ushirikiano wake wa hali na mali wakati wa ujenzi wa mnara huo

aidha tunakishukuru chuo cha VETA Singida kwa kutupa ushirikiano wa kiufundi, tuna imani kuwa ushirikiano huu utaendelea daima

No comments: