Tuesday, July 3, 2012

ROMA HAIKUJENGWA KWA SIKU MOJA

HAPO PICHANI---Fundi wa Mnara ndg MBONDE kutoka Dar es salaam, akikwea mnara wakati wa ujenzi, walioko chini ni Msimamizi wa mradi Bw. Prosper Kwigize (mwenye suti) Mwalimu LYIMO kutoka VETA Singida ambaye licha ya kuleta wanafunzi wa fani ya vyuma alishiriki kikamilifu kutoa ushauri wa kiufundi wakati wa ujenzi wa Mnara huo, na anayevuta kamba ni mfundi msaidizi wa mnara Bw. Masoud naye kutoka DSM

No comments: