Friday, July 6, 2012

VYOMBO VYA HABARI NA UKIMWI

Tume ya taifa ya kudhibiti UKIMWI Tanzania TACAIDS imetambua kuwa wanaadhisi wa habari, watangazaji na vyombo vyao wana mchango mkubwa katika kuelimisha jamii kuhusu HIV/AIDS na hivyo kutoa mafunzo ya utambuzi wa jinsia katika kuandika, kutangaza na kutafiti masuala ya kijamii yanayohusu JINSIA na UKIMWI

Standard Radio imeshiriki kikamilifu kwa kuwakilishwa na Ndg Prosper Kwigize

Mafunzo yamefanyika jijini Dar es salaam July 2012

No comments: