Tuesday, July 3, 2012

TUSOME JAPO KWA SHIDA

MWANZO NI MGUMU JAMA-  HII NI SHULEYA SEKONDARI SUMA ENGI KARET LONGIDO ARUSHA
ukiangalia mazingira haya huwezi kuamini kuwa kuna elimu hapa, nina hakika watoto kutoka Bukoba, Kigoma na Moshi ambako leo kila kata kuna shule huwezi kuamini kuwa Mapadre hawa wa shirika la Roho mtakatifu wameamua kuja Kuishi katika jangwa hili lenye miti ya miiba ili kusaidia watoto wa kimasai kupata elimu, hiii ni kazi nzito yenye uhitaji mkubwa wa wito

Tusome japo kwa shida, Watoto anaosoma katika mazingira haya nina hakika wengine watakuwa watangazaji ambao watapiga kelele dhidi ya mila potofu zinazong'ang'aniwa na baadhi ya makabila na hasa wa masai wasiotaka kusomesha watoto

No comments: