Tuesday, July 24, 2012

NAFASI ZA KAZI

STANDARD RADIO FM 90.1 FM

Ambayo iko mkoani Singida katikati mwa Tanzania inawatangazia nafadi za kazi mbalimbali kama ifuatavyo

1. Uandishi wa habari na utangazaji------------nafasi 5
2. Afisa masoko na mahusiano------------Nafasi 1
3. Fundi Mitambo--------------------nafasi 1
4. Fundi wa Computer---------------Nafasi 1
5. Dreva-----------------------Nafasi 1
6. Mhudumu wa ofisi..............Nafasi 1

SIFA ZA MWOMBAJI
Mwombaji wa nafasi yoyote kati ya hizo unapaswa kuwa na sifa zifuatazo
1. Elimu ya Msingi, Sekondari, chuo
2. Uwe umefanya kazi unayoiomba kwa angalau miaka miwili mfululizo
3. Dreva awe na leseni class A, B, D au C na awe na ujuzi wa Ufundi
4. Mwandishi wa Habari au Mtangazaji awe na cheti cha chuo kinachotambuliwa na NACTE na awe na uzoefu, sauti nzuri, na mwenye uwezo wa kuandika miradi (project writeup) au Program Proposal, awe na nakala ya habari iliyochapishwa au kutangazwa na chombochochote katika kipindi cha miezi 12 kabla ya maombi
5. Uwe na uwezo wa kuzungumza Kiswahili fasaha, na kiingereza, kwa anayejua kifaransa ana fursa zaidi

NB: fundi Mitambo atakayekuwa na ujuzi wa computa IT pamoja na fani ya Udereva na wenye leseni atapata fursa ya kufikiriwa zaidi

MAWASILIANO

BARUA ZA MAOMBI ZITUMWE KWA

Standard Radio Fm
P.O. Box 62
Singida
Tanzania
e-mail  srfm2011@gmail.com au standardradio2011@hotmail.com
Blog yetu. www.standardradiofm.blogspot.com

Mwisho wa kutuma maombi ni 10/08/2012

No comments: