Tuesday, July 3, 2012

VETA YASHIRIKI KAZI NA MAFUNZO


Wanafunzi wa chuo cha mafunzo ya ufundi stadi VETA SINGIDA, wakishiriki mafunzo na kazi wakati Standard radio ikijengwa mjini Singida mita chache kutoka kilipo chuo cha VETA

Tunampongeza Mwl Lyimo kwa kuleta vijana wake kwenye mafunzo, tunaimani kuwa watakuwa mafundi wazuri kwa ujenzi wa taifa letu

No comments: