Tuesday, October 2, 2012

MATUKIO KATIKA PICHA



BAADHI YA WATANGAZAJI WA STANDARD RADIO WAKIWA KATIKA MAPOZI MBALIMBALI,
Katika Picha hapo juu ni watangazaji wa Standard Radio FM, Eufrasia Mathias mwenye suti ya Zambarau na Deborah Marko mwenye fulana ya Blue wakiwa studio Kikazi Zaidi

mtangazaji na Mhariri wa habari wa Standard Radio FM Bw. Boniface Mpagape akiwa katika pozi baada ya kukamilisha majukumu yake ya studio

Mtangazaji wa Standard Radio Deborah Marko akiwa studio Kikazi zaidi kuhakikisha msikilizaji anapata kile alichatarajia kutoka 90.1 MHZ




No comments: