Na Edilitruda Chami
Ewe binadamu umewahi kujiuliza ni kwa kiasi gani unathamini
uhai wako? Kama unahisi unauthamini je ni vigezo gani vinavyoashiria kwamba
unauthamini? Kwa nini tusithamini uhai tulio nao na kufanya maisha kuwa mafupi?
Singida ni mkoa wenye miamba mingi na miamba hii imekuwa
ikivutia watu wengi huku watalii wakifika katika mkoa huo kutalii ila watu wa
mkoa huo wamekuwa wakitumia miamba hiyo
katika mazingira hatarishi huku wengine wakidiriki kujenga karibu na miamba
hiyo ambapo ni hatari kwa maisha yao
No comments:
Post a Comment