Thursday, September 13, 2012

USAILI WA KAZI


TUNAYO FURAHA KUWATANGAZIA KUWA

Usaili kwa walioomba kazi katika kituo kipya cha Radio yetu mkoani Singida na kupatiwa majibu ya kuchaguliwa kuhudhuria mahojiano (interview) mnatakiwa kuwasilii mkoani Singida jumapili hii september 16, 2012, usaili utafanyika katika ofisi ya Standard Radio iliyoko mtaa wa ginery, Hata hivyo kwa washiriki wanaotoka nje ya mkoa wa Singida mnatakiwa kuripoti jumatatu asubuhi katika ofisi ya Buhanzo furniture iliyoko katika jengo la CCM (chama cha mapinduzi) jirani na kituo kikuu cha Polisi mkoani Singida.

Baada ya utambulisho mtapatiwa usafiri kwenda studio za SRfm 90.1 mhz tayari kwa mahojiano

Ninachukua fursa hii kuwakaribisheni mkoani Singida

Asanteni sana

No comments: