Thursday, September 6, 2012

UONGOZI MPYA MTWARA PRESS CLUB

Habari za kazi, Poleni na majukumu na msiba mzito wa Mwenyekiti wa Iringa Press Club, nasi MTPC tunaungana na waandishi wote wa habari nchini na duniani kote katika maombi ya kumuombea ndugu yetu Mwangosi.
STANDARD RADIO FM 90.1 mhz Singida inalaani vitendo viovu vinavyotendwa dhidi ya waandishi wa habari, hata hivyo hatuungi mkono mwandishi yeyote atakayetumia uandishi wake kutangaza ubabe kwa namna yoyote ile
 Tarehe 03/09/2012 MTWARA PRESS CLUB- MTPC ilipata viongozi wapya waliochaguliwa katika uchaguzi mkuu. Ifuatayo ni safu ya viongozi hao:
VIONGOZI WA JUU
HASSAN SIMBA – MWENYEKITI
FAKIHI MUSSA – M/KITI MSAIDIZI
ABDALLA NASSORO – KATIBU MTENDAJI
GORDWIN MSALICHUMA – KATIBU MSAIDIZI
SIJAWA OMARY – MTUNZA HAZINA
HAMISI NAMANGAYA – MTUNZA HAZINA MSAIDIZI
WAJUMBE WA KAMATI YA UTENDAJI
BRYSON MSHANA
JUDITH NGONYANI
MARY SANYIWA
ISSA LIKWINYA
Imeandaliwa na:
Mellania Ngonyani
Mratibu - MTPC

No comments: