Thursday, September 6, 2012

HONGERA SINGIDA PRESS CLUB

 
 
Baadhi ya wanachama wa klabu ya waandishi wa habari waliohudhuria mkutano maalum wa klabu hiyo kufanya marekebisho ya katiba.Mkutano huo ulifanykia kwenye ukumbi wa mikutano wa halmashauri ya wilaya ya Iramba mjini New Kiomboi.
 
 
Mkuu wa wilaya ya Iramba Yahaya Nawanda (wa pili kulia - mwenye miwani),akiwa kwenye picha ya pamoja na wananchama wa Singpress.Picha zote NA HALIMA JAMAL                                                                                                                                                                 

No comments: