Mwenyekiti wa CCM Taifa Dr. Jakaya Kikwete akiingia katika uwanja wa Lake Tanganyika kwa ajilii ya kilele cha sherehe za miaka 36 ya kuazaliwa kwa chama cha mapinduzi CCM kilichoungana na Afro Shiraz Paty mwaka 1977, Kulia ni Mwenye kiti wa CCM mkoa wa Kigoma Dr. Aman Warid Kaborou ambaye pia amewahi kuwa kiongozi wa juu wa CHADEMA ngazi ya Taifa kabla ya kurejea CCM. Picha na . Prosper Kwigize
No comments:
Post a Comment