Tunapenda kukutakia wewe msomaji wa mtandao huu, heri na baraka ya sikukuu za Noeli na Mwaka mpya. Tunakushukuru kwa kuendelea kusoma habari mbalimbali kutoka Standard Radio FM, wewe umekuwa na mchango mkubwa katika kufanikisha azima yetu ya kuwa SAUTI YA WASIOSIKIKA
Tunaahidi kuendelea kukuletea habari mbalimbali za kukuhabarisha, kukuburudisha na kukuelemisha kupitia katika mtandao huu, aidha kupitia katika matangazo yetu ya Radio katika masafa ya 90.10mhz mkoani Singida.
kama una habari, maoni, taarifa au tangazo lolote tafadhari wasiliana nasi kwa e-mail hii
srfm2011@gmail.com
Tunakutakia sikukuu njema
No comments:
Post a Comment