STANDARD RADIO FM TANZANIA

The Voice of Voiceless

Showing posts with label STANDARD RADIO FM 2013. Show all posts
Showing posts with label STANDARD RADIO FM 2013. Show all posts

Sunday, May 5, 2013

SIKU YA WALEMAVU WA NGOZI-ALBINO TANZANIA

Tuwalende na kuwajali wenye ulemavu




Wito Umetolewa kwa kila halmashauli ya Tanzania kuwa na bageti maalum kwa ilikuweza kuwawezesha watu wenye ulemavu wa ngozi kupata tiba kwa muda muafaka na kuwapatia huduma mbali mbali za kijamii

 

Kauliyo hiyo imesemwa na waziri wa tawala za mikoa na serikali za mitaa kutoka offisi ya waziri mkuu Bi. Hawa Ghasia katika kiwanja cha Namfua mkaoni Singida wakati wa maazimisho ya siku ya albino Kitaifa

 

Bi Hawa ameeleza kuwa  Halmashauli zinapaswa kufuatilia sensa iliyofanya ilikuweza kuwa na idadi kamili  ya watu hao ilikuweza kuwa na mgawanyo mzuri na utakao wawezesha wapeleka huduma kuwa na ufanisi wa kuwafikishia huduma kwa muda muafaka.

 

 

Aidha Bi Hawa amelani na kukemea Vitendo vya mauaji na kuwanyanya paa walemavu kuwa ni vitendo vya kikatili na atakaye bainika kufaya hivyo hatua kali za kisheria  zita chukuliwa.

 

 
 
 
 
 



Posted by STANDARD RADIO FM SINGIDA TANZANIA at 6:35:00 AM No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
Labels: STANDARD RADIO FM 2013
Older Posts Home
Subscribe to: Posts (Atom)

STANDARD RADIO FM 90.1 FM

STANDARD RADIO FM SINGIDA TANZANIA
SINGIDA TOWN, SINGIDA, Tanzania
The Voice of the Voiceless
View my complete profile

NEWS

  • HOME

YALIYOMO

  • ▼  2013 (193)
    • ▼  November (16)
      • WATANZANIA ELFU30 HUPOTEZA MAISHA KWA KUTOZINGATIA...
      • HATIMAYE VIWANGO VYA NAULI KWA VYOMBO VYA USAFIRI...
      • UTUMISHI WA UMMA WATAKIWA KUWA WAADILIFU
      • A WEAVERING UNION
      • EAC YATARAJIA KUANZA MAZUNGUMZO RASMI NA SUDAN KU...
      • WAHAMASISHWA KUTUMIA VYOO BORA ILI KUZUIA MAGONJWA...
      • UMASIKINI WA KIPATO KWA WANAMTAMAA WA SINGIDA SAS...
      • SHERIA YA DAWA ZA KULEVYA KUWA NA MAHAKAMA MAALUM.
      • TRA SINGIDA YAZINDUA SIKU YA MLIPA KODI
      • AFUNGWA MIAKA 30 KWA UNYAN'GANYI WA KUTUMIA SILAHA
      • UZINDUZI WA SIKU YA MLIPA KODI TRA MKOANI SINGIDA
      • MISHAHARA YA WABUNGE WAINGIZA MGOGORO CHADEMA
      • WAZIRI NAHODHA AONGOZA KUTOA HESHMA KWA MAREHEM LU...
      • UJANGIRI WATISHIA UHAI WA TEMBO NCHINI
      • WAFANYAKAZI WAHUSISHWA NA WIZI WA SH.MILIONI 220
      • MADIWANI WAPINGA TOZO YA FAINI YA SH.LAKI TATU
    • ►  October (26)
    • ►  September (10)
    • ►  July (26)
    • ►  June (4)
    • ►  May (10)
    • ►  April (3)
    • ►  March (14)
    • ►  February (24)
    • ►  January (60)
  • ►  2012 (215)
    • ►  December (23)
    • ►  November (32)
    • ►  October (52)
    • ►  September (28)
    • ►  August (56)
    • ►  July (24)
Standard Radio FM Singida Tanzania. Simple theme. Powered by Blogger.