Wito Umetolewa kwa kila
halmashauli ya Tanzania kuwa na bageti maalum kwa ilikuweza kuwawezesha watu
wenye ulemavu wa ngozi kupata tiba kwa muda muafaka na kuwapatia huduma mbali
mbali za kijamii
Kauliyo hiyo imesemwa na
waziri wa tawala za mikoa na serikali za mitaa kutoka offisi ya waziri mkuu Bi.
Hawa Ghasia katika kiwanja cha Namfua mkaoni Singida wakati wa maazimisho ya
siku ya albino Kitaifa
Bi Hawa ameeleza kuwa Halmashauli zinapaswa kufuatilia sensa
iliyofanya ilikuweza kuwa na idadi kamili ya watu hao ilikuweza kuwa na mgawanyo mzuri
na utakao wawezesha wapeleka huduma kuwa na ufanisi wa kuwafikishia huduma kwa
muda muafaka.
Aidha Bi Hawa amelani na
kukemea Vitendo vya mauaji na kuwanyanya paa walemavu kuwa ni vitendo vya
kikatili na atakaye bainika kufaya hivyo hatua kali za kisheria zita chukuliwa.
No comments:
Post a Comment