Mkuu wa Mkoa wa Singida Bw Pareseko
Kone Ameshukuru Serikali na chama cha Walemavu wa ngozi Tanzania kwa kuupa
heshima ya kuwa wenyeji wa maazimisho ya siku ya ualbino kitaifa mkoa wa Singida.
Kauli hiyo imesema wakati
wamaadhimisho ya siku ya Albino kitaifa yaliyofanyika jana katika uwanja wa Namfua
Mkoani Singida.
Bw. Kone ameeleza kuwa wizara
husika na chama cha walemavu wa ngozi Tanzania walijadili na kuamuwa kuwa Mkoa
wa Singida ni moja kati ya mikoa inayoweza kuanda na kufanikisha shughuli hizo.
Aidha Bw Kone ameeleza kuwa
kuwa kauli mbiu ya mwaka huu katika
maadhimisho hayo ni Kansa ya Ngozi Je Waijuwa, na mkoa wa wamejipanga kuhakikisha
kuwa kila mlemavu wa ngozi anapata huduma iliyo ndani ya uwezo wa mkoa.
1 comment:
Hi! Would you mind if I share your blog with my twitter group?
There's a lot of folks that I think would really enjoy your content. Please let me know. Many thanks
Also visit my web-site; ideal waist to hip ratio
Post a Comment