Na.Edson Raymond
Baadhi ya madiwani wa halmashauri ya
wilaya ya Ikungi mkoani Singida wamepinga sheria ndogo iliyopendekezwa na
halmashauri hiyo ya kutoza faini shilingi laki tatu na kifungo cha miezi
12 jela kwa mzazi au mlezi atakayeshindwa
kuchangia chakula shuleni.
Naye Mbunge Singida Magharibi Muhamed
Misanga (CCM) hatua hiyo ni nzuri kwa kuwa inalenga wanafunzi kupata chakula
shuleni lakini kunahaja ya kuangalia adhabu hiyo kwani licha ya kutaka kuwekwa
kwa msisitizo wa upatikanaji wa chakula hicho, sheria hiyo itasababisha
wananchi kuichukia serikali yao
No comments:
Post a Comment