Na.Edilitruda
chami
Wananchi
mkoani Singida wametakiwa kuwaheshimu vijana wanaofanya kazi katika sekta
mbalimbali bila kujali umri wao ili wanufaike na matunda ya kazi hizo
Afisa
ustawi wa jamii mkoa wa Singida Bw Amosi Makala baada ya kugundua kuwa baadhi ya wananchi hawafiki katika ofisi za ustawi wa jamii kupata
ushauri nasaha pindi wanapokuwa na tatizo
Bw Makala amesema baadhi ya watu kama vile wazee hudharau ushauri wanaopewa na wafanyakazi
vijana katika ofisi za ustawi wa jamii kwa kuangalia umri na umbo jambo ambalo
ni hatari katika utendaji kazi na linalokwamisha maendeleo mkoani Singida
Amesema,
ni vyema wananchi kufahamu kuwa endapo hawatafuata ushauri wanaopewa na ustawi
wa jamii au kuogopa kufika ofisi hizo wanapokumbana na matatizo mbalimbali kutachangia
ongezeko la vitendo vya ukiukaji wa haki za kibiinaadamu
No comments:
Post a Comment