Jumla
ya shilingi bilioni 217 zinatarajiwa kutumika katika ujenzi wa mradi wa kufua
umeme wa upepo
Katibu
mkuu wa wizara ya nishati na madini Bw Eliakimu Maswi amesema hayo jana wakati
akitoa taarifa kwa umma kuhusu mpango wa matokeo makubwa sasa yaani (Big Result
Now)
Mradi
huo ambao unatekelezwa kupitia shirika la maendeleo ya taifa NDC, Taneco pamoja
na kampuni ya Power pool East africa uko katika hatua za kubadirisha matumizi
ya eneo utakapojengwa mradi huo
Amesema kuwa baada ya zoezi hilo kukamilika utekelezaji wa mradi huo utaanza mara moja kutokana na kile alichokieleza kuwa tayari mkopo umepatikana kutoka benk ya Exim ya China
No comments:
Post a Comment