Ujio wa Standard Radio fm
mkoani Singida, imekuwa kama ukombozi wa aina yake, viashiria vingingi
vimethibitisha kuwa Standard radio imepokelewa na wanasingida na mikoa ya
jirani kwa mikono miwili.
Vipindi vyake murua vimekuwa
kivutio na kiunganishi muhimu kwa wananchi na viongozi wao, lakini pia kujenga
na kuimarisha mahusiano baina ya jamii kiuchumi, kiutamaduni, kisiasa na
kijamii
Baadhi ya kipindi cha Salaam
kwa njia ya kadi kuanza kila kona watu wamezisaka na pale walipozikosa waliamua
kubuni namna ya kupata kadi hizo na kuzifikisha Studio ili salaam zao zisome.
Pichani hapo juu ni ubunifu
uliofanywa na baadhi ya watuma salaam na wapenzi wa standard Radio mkoani Singida,
Tabora, Dodoma na Manyara
Pichani, Ni kadi harali za standard radio zikiwa zimejazwa na wasikilizaji wa kipindi cha salaam
1 comment:
Ni kweli ni ubunifu wa aina yake.Ila nafikiri mngeteua mawakala wa kuuza kadi hasa kwenye maduka yalipo vyuoni naamni wanafunzi wengi wangezi chamgamkia kama njugu.
Ngairo
Buhanzo Enterprises
Dar es salaam.
Post a Comment