Na.Boniface Mpagape
Wajumbe wa jumuiya ya tawala za mikoa Tanzania ALAT
mkoa wa Singida wametakiwa kuonyesha
uwezo wa kukusanya mapato
yanayotokana na Ada za lesen kwa ukamirifu
ili kutimiza malengo yaliyokusudiwa
Wito huo umetolewa leo na Mkuu wa mkoa wa Singida Dr. Parseko Kone wakati wa ufunguzi wa Kikao cha ALAT mkoa kilichofanyika
kwenye ukumbi wa parokia ya kanisa katoliki mjini Singida
Dr. Kone amesema ada za lesen zikikusanywa kwa ukamilifu serikal itaongezea
halmashauri za mkoa wa Singida wigo mpana wa vyanzo katika halmashauri zote
Amesema kwa kutumia fursa hiyo ya makusanyo
kutasaidia kuwa na matokeo chanya kwa kuibua,kukusanya kusimamia na kufuatilia
mapato ya halmashauri