Wanafunzi wa chuo cha mafunzo ya ufundi stadiVETA SINGIDA, wakishiriki mafunzo na kazi wakati Standard radio ikijengwa mjini Singida mita chache kutoka kilipo chuo cha VETA
Tunampongeza Mwl Lyimo kwa kuleta vijana wake kwenye mafunzo, tunaimani kuwa watakuwa mafundi wazuri kwa ujenzi wa taifa letu
No comments:
Post a Comment