Mkuu wa mkoa wa Singida Pasekoo Kone, akihutubia mkutano wa wadau wa matumizi ya mawasiliano mkoani Singida, ambapo pamoja na mambo mengine katika hotuba yake amekiri kuwa, vyombo vya mawasiliano hususani Radio, Simu na Runinga katika kukuza uchumi katika sekta ya kilimo na masoko.
Moja ya malengo ya standard radio fm ni kuwawezesha wakulima na wajasiliamali wa kati na wa juu, kujua nini kilichopo katika anga la uchumi na wapi wanaweza kupata soko la bidhaa zao hasa mazao ya mashambani na ya viwanda vidogo vidogo.
Ni dhahiri kuwa, Tanzania sehemu yake kubwa ya uchumi hutegemea Kilimo na viwanda vidogo vodogo,, pamoja na utegemezi huo, Bado watanzania hawajapata elimu ya kujua fursa za masoko ya bidhaa wanazozalisha, hivyo basi STANDARD RADIO FM, inakuwa SIngida ili kuonesha njia ya kuelekea uchumi unaotokana na kila mtu kutimiza wajibu wake hasa baada ya kuzijua fursa ziliopo
HII ndiyo Kazi yetu Standard Radio Fm
No comments:
Post a Comment